Wednesday, July 9, 2014
On 11:22 PM by Unknown No comments
KUNA matukio ambayo kama binadamu yasikie kwa wengine tu lakini yasikutokee wewe! Kama hili la mkazi wa Ukonga –Mzambarauni, Dar, Paulo Ndulu ambapo mkesha wa kuamkia Sikukuu ya Sabasaba, alijikuta katika wakati mgumu pale alipoingia kibaruani kuamua ngumi kati ya mkewe, Anitha Mapunda na Elizabeth Chacha aliyedaiwa kuwa ni hawara yake,
sekeseke hilo na kugundua kuwa, ndani ya nyumba ya Ndulu kulikuwa na kasheshe zito la nguo kuchanika kati ya wanawakwe wawili ambapo majirani walisema mmoja ni mke, mwingine hawara, kisa?
Ilidaiwa kuwa, Anitha alikuwa katika wakati mgumu baada ya mumewe kuwa na tabia ya kumwingiza mwanamke huyo ndani na kumwambia yeye akakae mahali anywe soda au aende kwao mpaka mgeni wake atakapoondoka ndipo arudi.
Hata hivyo, utetezi huo wa Ndulu ulipingwa vikali na mjumbe wa nyumba kumi na polisi ambapo walimwambia kisheria mwanaume na mwanamke wakiishi ndani ya nyumba kwa muda huo tayari ni mkewe.
Wakasema kwa hiyo kitendo cha kumpelekea mwanamke mwingine ndani ni kutafuta machafuko kwa makusudi.
“Mimi aliniambia haishi na mwanamke na nilimuuliza sana kuhusu hili naye akanithibitishia kuwa ni msela lakini hata hivyo machale yalikuwa yakinicheza muda wote, namuomba radhi mwanamke mwenzangu jamani,” alisema Eliza.
USIKU
Siku ya tukio, majira ya saa nane usiku, maeno ya Ukonga jijini Dar timbwili zito sana kutoka kwenye nyumba ya Ndulu huku majirani kibao wakiziba mtaa kushuhudia.sekeseke hilo na kugundua kuwa, ndani ya nyumba ya Ndulu kulikuwa na kasheshe zito la nguo kuchanika kati ya wanawakwe wawili ambapo majirani walisema mmoja ni mke, mwingine hawara, kisa?
MSIKIE JIRANI
“Mke aliaga anasafiri, mume akaingiza mwanamke mwingine, sasa kumbe mke hakusafiri kikweli, alimdanganya mumewe baada ya kujua kuna mwanamke atakuja,” alisema jirani mmoja huku akilalamika kwamba, amepika daku linapoa kwa sababu ya kushuhudia filamu hiyo ya bure.Ilidaiwa kuwa, Anitha alikuwa katika wakati mgumu baada ya mumewe kuwa na tabia ya kumwingiza mwanamke huyo ndani na kumwambia yeye akakae mahali anywe soda au aende kwao mpaka mgeni wake atakapoondoka ndipo arudi.
ALIJIFICHA
Siku ya tukio, kwa mujibu wa mashuhuda, Anitha alipobaini ujio wa mgeni huyo (Elizabeth) alijifanya anakwenda Kimanzichana, Kisarawe, Pwani lakini uhalisia alikwenda kujificha nyumba ya jirani huku akiweka wapambe wampigie chabo nyendo za mumewe kwa usiku huo kwa sababu alikuwa amechoshwa na uonevu wa kutakiwa kwenda kukaa mahali.MUME ARUDI, HAWARA ATINGA
Chanzo kilisema saa moja usiku, Ndulu alionekana akirudi nyumbani hapo. Muda si mrefu, mrembo mweupe, mrefu alionekana akiingia nyumbani hapo na Ndulu alitoka kumpokea.
WAPAMBE WANYAKUA VIATU VYA ELIZABETH
Jirani huyo alizidi kusema kuwa, wakati Eliza akizama ndani Ndulu, alivua viatu na kuviacha nje ya mlango. Wapambe wakavichukua na kwenda kumuonesha Anitha akiwa mafichoni ili kumthibitishia kuwa tayari mumewe alikuwa na kifaa ndani.Baada ya kuoneshwa viatu hivyo, Anitha alichanganyikiwa na kutoka kwenda nyumbani kwake ambapo aliingia na kusababisha varangati hilo la aina yake lililodumu kwa karibu dakika ishirini mpaka askari wa kulida doria usiku walitinga eneo la tukio.
MJUMBE ASHIRIKISHWA
Ili kuweka sawa mambo ya kisheria, maafande hao wenye maadili ya kazi walikwenda hadi kwa Mjumbe wa Shina Namba 29, Mama Urio ambaye waliongozana naye mpaka kwenye eneo lenye kizaazaa.Hata hivyo, polisi na mjume huyo walimkuta Anitha ameshamvaa mbaya wake huyo huku akimtupia maneno yenye lawama na shutuma nzitonzito kwamba anamvunjia nyumba yake.WATU DIRISHANI WEWEEE!
Ndulu mbali ya kuchoka hoi kufuatia kazi nzito na kumdhibiti mkewe asiendelee kuzichapa na Eliza, pia alikuwa na kazi nyingine ya kugombana na majirani ‘wambeya’ walijaa dirishani kwa nje wakimporomoshea maneno yenye kuudhi.UTETEZI WA NDULU
Baada ya hali ya hewa kutulia, polisi walimuhoji Ndulu kuhusu sakata hilo, alikiri kuishi na Anitha kwa zaidi ya miaka minne lakini alimkana kuwa si mkewe kwa kuwa yeye ni Mkristo wa madhehebu ya Katoliki na hakuwahi kufunga naye ndoa.Hata hivyo, utetezi huo wa Ndulu ulipingwa vikali na mjumbe wa nyumba kumi na polisi ambapo walimwambia kisheria mwanaume na mwanamke wakiishi ndani ya nyumba kwa muda huo tayari ni mkewe.
Wakasema kwa hiyo kitendo cha kumpelekea mwanamke mwingine ndani ni kutafuta machafuko kwa makusudi.
ELIZABETH SASA
Wakati wote wa sakata, Elizabeth alikuwa akipiga mayowe ya kuomba msaada akisema amekoma kwani Ndulu alimwambia kuwa haishi na mwanamke baada ya kuachana na Anitha muda mrefu kwa sababu za ugumba.“Mimi aliniambia haishi na mwanamke na nilimuuliza sana kuhusu hili naye akanithibitishia kuwa ni msela lakini hata hivyo machale yalikuwa yakinicheza muda wote, namuomba radhi mwanamke mwenzangu jamani,” alisema Eliza.
MWISHO WA SAKATA
Hatima ya sakata hilo, Elizabeth alitakiwa kurudi kwao, Ubungo -Maziwa jijini Dar na Anitha alishauriwa kwenda kulala kwa kaka yake anayeishi jirani na eneo hilo chini ya usimamizi wa mjumbe.ANITHA MWENYEWE
Akizungumza baada ya kutulia kwa sekeseke, Anitha alisema miaka minne ya maisna na Ndulu, mapenzi yalikuwa motomoto lakini siku za karibuni mwanaume huyo alibadilika ghafla, akaamini ni baada ya kumpata Eliza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
-
Yemen imesema wapiganaji wa kundi la al-Qaeda wamewaua watu sita katika mapi...
0 comments:
Post a Comment