Dini ya rapper na producer huyu itaitwa Yeezianity na wanaotaka kujiunga nayo wameshapewa nafasi ya kutembelea mtandao wa waumini wa dini hii ambao ni Yeezianity.com Na waumini hawa watakuwa wanatumia na kuvaa sanamu linalofanana na sura ya Kanye West ambaye ndio mwanzilishi wa dini hii.
Ukitaka kujiunga Unatakiwa kupiga picha umeshika karatasi iliyoandikwa ‘I Beleive In Yeezus’ ikionyesha sura yako na watumie kwenye Email Yao.
No comments:
Post a Comment