Wacheza filamu maarufu kutoka nchini Marekani ambao pia ni wapenzi Angelina Jolie na Brad Pitt wanatarajia kurejea wakiwa pamoja kwenye majumba ya sinema kwa kucheza filamu ya pamoja iliyopewa jina la “By The Sea.” ambapo Angelina anatarajia kuongoza filamu hiyo huku wote wawili wakiwa ndio watayarishaji.
Picha za filamu hiyo zitapigwa katika visiwa vya Malta na Gozo.
Kama wewe ni mpenzi wa filamu za Angelina Jolie tarajia mambo makubwa kutoka kwenye filamu hizo.
No comments:
Post a Comment