Saturday, July 5, 2014

Huyu ndio msanii mwingine kutoka Tanzania anaeshiriki Coke Studio 2014

Kama unakumbuka mwaka jana Diamond Platnumz alishiriki katika kipindi cha TV cha Coke Studio akiwa pamoja na victoria kimani kutoka kenya na wasanii wengine kutoka Africa.
Mwaka huu wametoka wasanii watatu watakao shiriki Coke Studio akiwemo Vanessa Mdee, Diamond pamoja na Joe Makini kutoka Weusi.

No comments:

Post a Comment