Baada ya kupiga tizi na kupunguza uzito sasa rapper Rick Ross ameingia kwenye mapenzi tena na huyu mtoto mzuri anayefahamika kama Paige Imani kutoka Miami. Weekend hii model huyu ameweka wazi mahusiano yake na Rozay kwa kumwaga picha zao wakiwa pamoja.
No comments:
Post a Comment