Awali Christina Milian alikuwa na msanii The Dream na mahusiano yao yalizaa mtoto moja, hivi karibuni ameachana na mchumba wake Jas Prince. Hivi karibuni Lil Wayne alimdiss mchumba wa Christina ‘Jas Prince’ kwenye wimbo wake kwa kusema “I’ll take your Tina” (Short for Christina), and “She needs a king, f-ck a prince” (in reference to Jas Prince).
Jas Prince anasema ameumizwa na kitendo cha Lil Wayne kumtukana na kumchukua mpenzi wake kwani walikuwa marafiki na yeye ndiye alimtambulisha Drake kwa Lil Wayne na ndiye alimsaidia Christina kupata record lebel ya Young Money mwaka 2012.
No comments:
Post a Comment