Picha Za Utengenezwaji Wa Video Ya Barnaba-Wahalade
Kama alivyosema kwenye exclusive Interview wiki chache nyuma kuwa atamtumia Mama Steve kama video queen wa video yake mpya, Ni msanii Barnaba wa Tht ambaye ameshaanza kufanya video ya wimbo aliouita ‘Wahalade’ na director Nick Dizzo wa Focus Film.
Hizi Ni Picha Za Utengenezwaji wa Video Hii ya Barnaba-Wahalade
No comments:
Post a Comment