Rapper Meek Mill amemdiss waziwazi rapper mwenzake Wale kuwa amekuwa mchoyo wa fadhira na ameshindwa kusapoti albam yake inayokuja ya ‘Dreams Worth More Than Money’.
Kupitia Twitter, Meek Mill alieleza kuwa Wale anamchukia hivi sasa kwa kuwa hata wasanii wenzake wanapotweet kuhusu ngoma ya Meek Mill inayofuata ama albam yake, Wale amekuwa kimya haandiki chochote kwenye mitandao ya kijamii kuhusu hilo.
Amedai kuwa jamaa hata kumtumia ujumbe kwa simu siku hizi hamtumii.
“”Wale just ain’t gone tweet a thing about my album…. He’s been hating on me long time now …don’t even text me cornball! #UNOTMMG.” Aliandika kwenye Tweet yake moja.
kwahiyo we are even or????
No comments:
Post a Comment