UMESHAIONA SARAFU YA SHILINGI MIA TANO YA TANZANIA?KAMA BADO HII HAPA KUANZA KUTUMIKA KARIBUNI
sarafu ya Shilingi Mia Tano ambayo Benki Kuu ya Tanzania inatarajia kuitoa hivi karibuni. Noti ya Mia Tano maarufu kama 'Jelo' itaendelea kutumika, ila itaondolewa taratibu katika mzunguko,na hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki na Sarafu wa BoT Bw Emmanuel Boaz,
No comments:
Post a Comment