Breaking: Ajali nyingine mbaya ya basi yaua makumi, Gairo
Basi la kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es Salaam leo kuelekea Tabora limepinduka katika maeneo ya maeneo ya Kiegeya Gairo. Shughuli za uokozi zikiendelea muda mfupi uliopita Haijulikani idadi kamili ya WATU WALIOFARIKI NA KUJERUHUWA

No comments:
Post a Comment