Majina ya wasanii wa Afrika watakaowania tuzo za MTV Europe, MTVEMA yametangazwa na Diamond ni miongoni mwa wasanii watakaowania tuzo hizo zitakazotolewa November 9 jijini Glasgow, Scotland. Diamond atachuana na Davido, Toofani wa togo na goldfish wa south africa
No comments:
Post a Comment