Hii ni kwa wale wa Davido, baada ya ‘Aye’ ndio kaiachia hii ft. Dj Arafat ‘naughty’
Ni mkali ambae shavu lake kwa Diamond Platnumz halitosahaulika na Mtanzania yeyote aliefikiwa nalo, baada ya hit single yake ya ‘Aye’ right now ni time ya kusikiliza single yake mpya inaitwa ‘naughty’
No comments:
Post a Comment