Thursday, September 4, 2014
Hii Video Mpya Ya Cpwaa-Chereko Chereko
Baada ya miezi kadha tukisubiri video hii ya wimbo wa Cpwaa,sasa imetoka.Rekodi hii ilitengenezwa na producer Mesen Selector na video imetengenezwa na Adam Juma kupitia Next Level.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment