Ditto amepata mtoto wa kiume aliyezaliwa jana usiku katika hospitali ya Sanitas ya Mikocheni jijini Dar es Salaam.
“Nimefuhi sana yaani siwezi kuelezea furaha niliyo nayo kwasasa, ila namshukuru sana Mungu, Mama na mtoto wanaendelea vizuri,”
Ditto amesema mwanae anaitwa Lameck.
No comments:
Post a Comment