Picha,Diamond Alivyokutana na Peter wa P Square na Fally Ipupa Nigeria.
Unafuatilia habari za burudani Tanzania, basi utakumbuka swali waliloulizwa P Square walivyokuja Tanzania kuhusu kumfahamu Diamond. Jibu lao lilitengeneza drama kwa mashabiki wa Platnumz. Diamond kwa sasa yupo Nigeria kwaajili ya tuzo za Glo-CAf. Amekutana na mastaa tofauti na miongoni mwao ni Peter wa P Square na Fally Ipupa.
No comments:
Post a Comment