Producer
Detail aliyetengeneza
wimbo wa Drunk In love wa Jay Z na Beyonce amesema atahusika kwenye
utengenezwaji wa album mpya ya Jayz na Beyonce watakayofanya pamoja.
Detail amezungumza haya kwenye redcarpet ya tuzo za Grammy nakusema
anauhakika kuwa Jay Z na Beyonce watakamilisha album yao ya pamoja na
kutoka ndani ya mwaka 2015.
No comments:
Post a Comment