Neymar aligongwa chini kidogo ya mgongo kwenye mechi yao na Colombia na kupelekwa moja kwa moja hospitalini nakufanyiwa matibabu.
Brazil pia imepata pigo lingine baada ya taarifa kuwa Thiago Silva hatashiriki kwenye mechi yao na Ujerumani baada ya kupewa kadi ya pili ya njano.

No comments:
Post a Comment