Sunday, July 6, 2014
On 8:15 AM by Unknown No comments
Mashabiki Wa Argentina wameonekana kwenye mitaa ya Brazil na Argentina Wakishangilia baada ya taarifa za mchezaji wa Brazil Neymar kutangazwa Kukosa mechi zilizobaki za Kombe La Dunia Kutokana Na Kuvunjika Mfupa.


Bbc imeripoti taarifa za nyota wa wa soka kutoka Brazil Neymar kuto shiriki tena michuano ya kombe la unia baada ya kuvunjika mfupa unaoshika uti wa mgongo katika mechi ya Brazil dhidi ya Colombia ambayo Brazil walichinda kwa bao mbili.
Neymar aligongwa chini kidogo ya mgongo kwenye mechi yao na Colombia na kupelekwa moja kwa moja hospitalini nakufanyiwa matibabu.
Brazil pia imepata pigo lingine baada ya taarifa kuwa Thiago Silva hatashiriki kwenye mechi yao na Ujerumani baada ya kupewa kadi ya pili ya njano.
Brazil pia imepata pigo lingine baada ya taarifa kuwa Thiago Silva hatashiriki kwenye mechi yao na Ujerumani baada ya kupewa kadi ya pili ya njano.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
The Rock says his mom, Ata Maivia-Johnson and his cousin were struck HEAD ON by a drunk driver this week ... and luckily, they su...
-
Amber Rose was a guest on the Breakfast Club last week , and she threw some shade towards Tyga and Kylie Jenner, alluding that the two wer...
0 comments:
Post a Comment