Saturday, July 5, 2014
On 1:12 PM by Unknown in ENTERTAINMENT No comments
Diamond Platnumz huu ni ujumbe ambao ameutuma kwenye page yake ya facebook
Shukrani zangu za dhati ziende kwenu Wadau na Mashabiki zangu kwa Kura zenu nyingi mlizonipigia kwenye Tuzo za Kora na Kunifanikisha kushinda "Platinum Certificate" ya kuwa Msanii Bora wa Kiume Toka East Africa... Next stop! Afrimma Awards, Let's Go get it Hommies!!!!
On 12:43 PM by Unknown in ENTERTAINMENT No comments
Kama unakumbuka mwaka jana Diamond Platnumz alishiriki katika kipindi cha TV cha Coke Studio akiwa pamoja na victoria kimani kutoka kenya na wasanii wengine kutoka Africa.
Mwaka huu wametoka wasanii watatu watakao shiriki Coke Studio akiwemo Vanessa Mdee, Diamond pamoja na Joe Makini kutoka Weusi.
Thursday, July 3, 2014
Davido’s BET victory has just been acknowledged by American rapper Meek Mill with whom he hung out in a club a short while before the awards in L.A. Meek Mill posted the Tweet below directed at Davido’s Instagram giving a shout out to him
Davido was also rocking the 24Karat gold Meek Mill headphones in a photo during the week.
Kiatu cha Nike Hypervenom cha mwaka 2014 kinavaliwa na wachezaji kama Welbeck, Neymar na Rooney kwenye kombe la dunia la 2014. Kiatu hichi cha Nike Hypervenom 2014 ambacho ni Hyper Punch Boot kilizinduliwamwezi wa Nne pamoja na kiatu kingine cha Nike cha kombe la dunia.
Hypervenom 2014 kinafana kwenye mchanganyiko wa rangi na Nike Mercurial Vapor X. Muundo wa Nike Hypervenom 2014 umeboreshwa kuwa na control zaidi.
Baada ya kuzushiwa kuwa ametofautiana na Rapper wa Kike Iggy Azalea, Rapper kutoka Young Money Nicki Minaj ameweka wazi kuwa hajawahikuwa na beef na msanii huyo na hana mpango a kuanzisha beef na Iggy ilikupata umaarufu zaidi.
Nicki Minaj alipokea tuzo ya Msanii Bora wa Hiphop Wa Kike kwenye tuzo za Bet na alishangilia kwa kucheza kama alivyocheza Iggy kwenye video yake ya Fancy kitendo kilicho tafsiriwa kwana Diss kwa Iggy kutoka kwa Minaj. Ukiacha kitendo hicho pia inasemekana Nicki aliwahi kukashifu kitendo cha Iggy kuandikiwa mistari na mtu asiyetaka kutajwa. Waandishi hawa huitwa GhostWriters
Nicki Minaj ametumia twitter kutoa maelezo kuwa amefuahishwa na mafanikio ya Iggy na anapenda kuona wasanii wakike wakifanya vizuri ata zaidi yake.
Kama ulikuwa Hewani siku ya jana katika kipindi maarufu kabisa (XXL), ndani ya Stetion maarufu hapa Tz yaana nazungumzia CLOUDS Fm utaelewa nini ninachozungumzia mpaka sasa. Katika hali isiyotegemewa jana watangazaji watatu maarufu kama, DJ FETTY, ADAM MCHOVU na B12 waliziweka ndani ya studio za Clouds live huku wakisahau kuwa Wasikilizaji wanawasikia mwanzo mwisho wanachokifanya huko ndani ya studio. Sakata hilo limesababisha na kutoelewana baina ya hawa watangazaji juu ya mauzo ya Albam ya Fiesta
Sasa leo watu mbalimbali na wasikilizaji walikuwa nataka kujua nini zaidi kilitokea kupitia kipindi cha Hekaheka, chanzo cha ugomvi hasa ni nn?
Baada ya massage nyingi sana kwenye kipindi cha hekaheka ilibidi wahusika wanyanyue simu zao kuwatafuta Adam, Fetty na B12 kujua nini kilichosababisha kuchapana makonde wakati bado kipindi kikiwa hewani. Muhusika alinyanyua moja kwamoja simu na kumpigia B12 ambaye alikataa kabisa kueleza chanzo cha sakata hilo la kutwangana huku akisema mambo yote yapo kwa uongozi.....
PICHA YA STUDIO ZA CLOUDS BAADA YA KUZICHAPA
Simu ya pili ilimuendea ADAM MCHOMVU ambaye pia aligoma kuelezea kilichotokea jana, baada ya Muda mfupi Adam alimkabidhi Dem wake ili azungumze na mwandishi, huku akijua kwamba harikodiwi kumbe yupo hewani, alikiambia kipindi cha hekaheka kwamba ADAM amemaind na hataki kuongea na simu!!
Simu ya tatu ilienda kwa DJ FETTY, Ambapo iliita bila majibu kwamba ilikuwa haipatikani..
Chanzo kinasema kwamba baada ya ugomvi, vifaa mbalimbali vya studio vimeharibiwa wakati wa ugomvi huo kama MIC, COMPUTER Meza nk. Endelea Kufuatilia Hapa ili ujua ni hatua Gani watachukuliwa watangazaji hawa kwa kukosa utovu wa Nidha
CHANZO CHA HABARI Hot Hewz Daily.
Wednesday, July 2, 2014
On 10:59 AM by Unknown in ENTERTAINMENT No comments
DJ mkongwe ambaye siku zote amekuwa na projects mbalimbali za muziki, DJ Khaled ametangaza kuanzisha Headphones zake alizozipa jina la “We The Best Sound”
DJ huyo ametangaza rasmi kuanzisha bidhaa hiyo ya headphones na kueleza kuwa ameamua kushirikiana na Heads Audio& Bang Olufsen kwa lengo la kutengeneza headphones bora zaidi kuwahi kutokea katika soko la muziki.
Swahiba wa DJ Khaled, Fat Joe ndiye msanii wa kwanza kuwa balozi wa hiari wa ‘We The Best Sound’.
Wengine waliompa sapoti ni French Montana na Flo rider.
DJ Khaled amefuata nyayo za wasanii ambao tayari wana bidhaa ya headphones sokoni kama Dr Dre (Beats by Dre), 50 Cent na Luda Cris pia. Biashara hii ndiyo iliyompa Dre Dremchongo uliomfanya kuwa billionaire wa kwanza mwana hip hop.
Hivi ndivyo alivyaondika DJ Khaled Instagram na kuambatanisha na picha ya Headphones zake:
“Today I am proud to announce that I have partnered with Heads Audio & Bang Olufsen to create the best audio in the market place, We The Best Sound. We The Best Sound represents the very best in audio entertainment. Alongside the prestigious Bang Olufsen brand, We The Best Sound and Heads Audio will provide the listener with the highest quality sound in electronic audio entertainment and will continue to carry on the tradition in excellence set by Bang Olufsen. It will also provide the listener a chance to hear audio the way I hear it when creating my music. I take pride in crafting a sound based on time, care and most importantly the best quality sound on the planet. Embark on this journey in sound with me…you won’t be disappointed. We The Best Sound, the brand you can trust. H6 with Dj Khaled by B&O @wethebestmusic @wethebestsound @headsaudio @beoplay #GODISTHEGREATEST!”
On 10:47 AM by Unknown in ENTERTAINMENT No comments
Diamond Platinumz hivi anaendelea kupambana kuupeleka muziki wa Tanzania katika level ya kimataifa na hivi sasa amepanga kuchia video mbili kwa mpigo.
Diamond sasaBila shaka video hizo ni moja aliyofanya na Iyanya Uingereza ambayo amepanga iwe kwa ajili ya mashabiki wa ndani na nje ya nchi na nyingine ya asili ‘MdogoMdogo’ ya Tanzania ambayo mimi naamini pia itafika mbali.
Hata hivyo Diamond ana ombi kwako wewe shabiki wake na ameandika katika ukurasa wake wa Facebook, saidia katika hili tupate tarehe rasmi ya kuzipokea video mbili kwa mpigo.
“Nataka Kudondosha video Mbili kwa Mpigo… tafadhari niambie, lini niziachie…???
[ I wanna drop 2 videos at da same time... Now you tell me, when should I let them out...??]”
Diamond ameweka baadhi ya picha zinazokuwa kwenye video yake akiwa kazini kama muigizaji fulani.
“Nikikupa Nafasi moja tu ya Kunipa Jina katika Caracter hiyo we ungenipa jina Gani?….. [ If I was to give you a chance to give me a name from that character what would it be...?]”
Tuesday, July 1, 2014
On 12:52 PM by Unknown in ENTERTAINMENT No comments
Mtandao wa Forbes ambao unaaminika kwa kutoa orodha za uhakika kuhusu mastaa na watu wakubwa wakiwemo wafanyabiashara matajiri, kwa sasa wametoa orodha mpya ya mastaa wenye nguvu zaidi duniani yaani “most powerful celebrities” pamoja na kiasi cha pesa walichoingiza tangu mwezi June mwaka 2013 hadi June mwaka huu wa 2014.
Mwanamuziki maarufu Beyonce Knowles amefanikiwa kung’aa katika nafasi ya kwanza akimuacha kwa nafasi tano nyuma mume wake Jay Z ambaye yupo katika nafasi ya sita.
Kumi bora ya watu maarufu katika orodha hiyo ni pamoja na LeBron James, Oprah Winfrey, Rihanna, Jay Z, na Katy Perry.
Hii ndiyo orodha nzima ya kumi bora ya mastaa hao pamoja na kiasi cha pesa walichoingiza kwa mwaka mzima.
1) Beyonce: $115million
2)LeBron James – $72million
3)Dr. Dre – $620million
4)Oprah Winfrey- $82million
5) Ellen DeGeneres – $70million
6)Jay Z – $60million
7)Floyd Mayweather- $105million
8)Rihanna – $48million
9)Katy Perry- $40million
10)Robert Downey Jnr – $75million.
Note : Hii ni list ya most powerful celebrities na sio most richest celebrities.
Friday, June 27, 2014
On 3:00 PM by Unknown in ENTERTAINMENT No comments
Rihanna ametoka kivingine hivi sasa kwenye jarida ambao linampa nafasi ya kuonesha uzuri wake akiwa ndani ya vazi lililofunika mwili wake kuanzia kichwani hadi kidole gumba.
Barnaba anajitayarisha kufanya video ya wimbo wake mpya “Wahaladee” na tayari ametangaza kuwa video Queen wa kazi hiyo mpya atakuwa Mama Steven ambaye ni mpenzi na mama mtoto wa wa msanii Barnaba
” Sina la kuandika zaidi ya Asante wife kukubali kuwa Video Qwen Wangu kwenye #Wahaladee Ilove uu Verry moo much….. Sema nakulipa oky, sema sio nyingi, uwii sipati Picha apo Location … Uwiii, uwiii ,mama ndani ya shela baba ndani ya bangoooooo. “
Thursday, June 26, 2014
On 8:57 AM by Unknown in ENTERTAINMENT No comments
Kuelekea kwenye tuzo kubwa za Bet Diamond Platinumz ameshaanza kufanya mipango tofauti ikiwemo nguo atakayovaa usiku huo na kwenye red carpet. Fahamu kuwa Diamond yupo kwenye kipengele cha Best African Act ikiwa ni kipengele cha msanii peke anayefanya vizuri Africa.
Diamond ametuonyesha sehemu ndogo ya nguo atakayovaa usiku wa Bet na imetengenezwa na mbunifu wa mavazi Sheria Ngowi na imeandikwa Mr Diamond Platnumz.
Mwanamuziki Diamond amefunguka kuhusu madai ya baadhi ya wasanii kuwa aliwaibia idea au nyimbo zao na kuzifanya zake.
Ameeleza kuwa malalamiko yao hayana ukweli kwa kuwa kuna maneno ya ambayo yamezoeleka na yanaweza kutumiwa na watu wote lakini anapoyatumia hutokea msanii aliyetumia maneno kama yale na kudai kuwa ameiba idea yake.
Ametoa mfano wa nyimbo kama Moyo Wangu ambayo anasema baada ya kuimba wasanii wengine waliimba pia lakini hakuwahi kujitokeza kusema ameibiwa kwa sababu neno hilo linaweza kutumika na kila mtu kwa ufundi wake.
Diamond ameeleza pia kuhusu tuhuma za Wababa (ingawa hakumtaja jina) kuwa alimuibia wimbo wake wa Kitorondo na sasa anauita Mdogomdogo.
“Sitaki niongee kwa sababu nitampa Kick…anyways nilisikia kuna mtu anasema eti hii nyimbo yangu ya MdogoMdogo kuna mtu kaibiwa kwa neno la Kitorondo. Sasa mimi nikuadithie story fupi…mimi nimezaliwa Tandale nimekulia Tandale, kuna bendi ilikuwa inaitwa Tandale Modern Taarab nyimbo yao ya kwanza inaitwa Tandale (anaimba kidogo). Ukiacha hivyo, Kitorondo ni jina ambalo ni ngoma ambayo wanaimba hivyo (anaimba). Yaani hii ni nyimbo.
“Kuna msanii kaichukua kaiimba kama ilivyo ile nyimbo ya mdundiko. Halafu baada ya kusikia neno la Kitorondo kwenye nyimbo yangu akasema yeye kaibiwa nyimbo. Mimi nimepata taarifa nikasema ana akili kweli. Yeye ndio kaenda kuiba. Mimi nimetumia neno la Kitorondo kwa taaluma zangu za kimuziki naliingiza kwa namna gani kama neno, yeye anasema nimemuibia yeye. Sikujisikia vizuri…halafu nikaulizwa kila sehemu nikienda nawaambia msiniulize maswali hayo kabisa.”
Kwa hisani: Timesfm.co.tz
Mtayarishaji wa muziki na mmiliki wa studio za Burn Records, Sheddy Clever ameamua kuuza vifaa vyote vya studio yake kwa mtu yeyote anaetaka kuvimiliki
Kupitia Instagram, Sheddy ameweka picha ya vifaa vyake anavyouza na kutoa namba ya simu kwa mawasiliano.
“Habari ….. Vifaa vya s2dio @burnrecordz vyooote vinauzwa kwa anaehitaji cheki +255654067053 -> Mic, keyboard ,monitor speaker alesis,meza ya s2dio, mic stand, sound card, na vingine cheki hum.”
Akiongea na sammisago.com Sheddy ameeleza kuwa ameamua kuuza vifaa hivyo ili anunue vifaa vipya kabisa na vya kisasa zaidi, na kwamba chanzo cha uamuzi huo ni fedha alizozipata kupitia wateja wengi zaidi aliowapata tangu alipotoa wimbo wa Diamond ‘My Number One’.
Sheddy Clever aliutengeneza wimbo wa My Number One bila malipo lakini hivi sasa anakiri kupata mafanikio makubwa kupitia wimbo huo ambao umempa nafasi Diamond kushiriki kaika tuzo za MTV MAMA mwaka huu.
Kama unahitaji kumiliki vifaa vilivyotumika kuandaa nyimbo kali za Sheddy, mpigie kupitia 0654067053.
Beyonce aliandika kwenye website yake ujumbe maalum unaosimulia maisha yake kwa kukumbuka matukio yaliyokuwa yanamgusa MJ.
Aliandika kuwa wakati anaanza muziki, producer wake wa kwanza alimtaka aangalie performance ya Michael Jackson ‘Who’s Loving You’ kwa masaa kadhaa.
Alieleza kuwa alimwambia afanye hivyo kwa lengo la kujifunza kuwa unaweza hata kusikia roho yake wakati anaperform.
“What he wanted me to learn was his soul. You could hear his soul. And he was this little kid who hadn’t experienced love but he was a vessel.For whatever reason he could evoke more emotion than an adult. It was so raw and so pure. It was these little things that he did that were just swag. It’s something that’s God given.” Aliandika Beyonce.
Alieleza kuwa alijifunza kuwa sio lazima kila wakati utumie technique na kufuata hisia zako.
“Michael Jackson alinibadilisha, na alinisaidia kuwa mwanamuziki kwa jinsi nilivyo, asante Michael.”
Wednesday, June 25, 2014
Justin Bieber amepata ajali ya gari akiwa katika gari lake la Cadillac Escalade wakati akiwakimbia mapaparazzi, Beverly Hills.
Kwa mujibu wa TMZ, Bieber alikuwa amekaa kwenye seat ya abiria ambapo gari lingine aina ya BMW liligonga mlango wa upande huo.
Kwa bahati nzuri, hakuna aliyeumia katika ajali hiyo na Justin alihamia kwenye gari nyingine na kuendelea na safari.
On 12:49 PM by Unknown in ENTERTAINMENT No comments
Ammy Nando aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa mwaka jana akiiwakilisha Tanzania amefungukua kuwa na yeye alikuwa moja kati ya wanaotumia dawa za kulevya.
Amesema hivi sasa ameamua kuacha kutumia Unga na ameshakamilisha miezi 16 tangu afanya maamuzi hayo.
Hata hivyo, Nando anasema anaendelea kutumia bangi na anavuta mbili kwa siku ili kurefresh kutoka kwenye matumizi ya unga.
Anasema kwake bangi haimuumizi ila unga ndio tatizo kubwa na ameachana nalo.
Nando ameeleza sababu zilizompekea kutumbukia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya:
Sababu ya kuingia huko, ni ujana tu mwanangu…unajua ujana ni maji ya moto kama watu wanavyosema. Na pee pressure na watu niokuwa nao wakati ule, na life nililoishi mimi…ni yale maisha ya kujiachia.
Chanzo: timesfm.co.tz
Tuesday, June 24, 2014
Prince Dully Sykes ni msanii ambaye siku zote anapewa heshima ya kukaa kwenye game kwa muda mrefu bila kuchuja akiwa na hits kibao
Mwimbaji huyo ameomba msaada wako wewe shabiki wake kwa kumsaidia kupata model wa kike au wa kiume, au kama wewe unaweza kuwa na sifa hizo msaada ambao unaweza kugeuka kuwa deal kwa upande wako.
“HABARI MARAFIKI ZANGU NAHITAJI MODELS KIKE/KIUME KWA AJILI YA VIDEO SO ATAKAE ONA ANAWEZA KUNISUPPORT ANICHEK KWA INSTAMSG.” Dully Sykes ameandika kwenye Instagram
Rapper Bow wow ambaye pia ni mtangazaji wa kipindi cha 106Park cha amebadili jina lake rasmi na sasa anataka aitwe jina lake halisi Shad Moss
Bow Wow ameandika kwenye video aliyoweka Instagram sababu za kubadili jina lake kuwa ni kuanza ukurasa mpya wa maisha na Bow Wow anao ni jina ambalo haliendani nae kwa hivi sasa.
“Baada ya BET awards sitatumia jina la Bow Wow tena. Nitatumia jina langu halisi Shad Moss. Tumefanya historia ndefu kama Bow Wo. Na sasa ni muda wa kuanza ukurasa mpya na challenge.”
Bow Wow anaona kama jina hilo ni la kitoto na sasa amekuwa anataka ajulikane kiofisi zaidi.
“Mimi ni baba, mfanyabiashara, mtangazaji wa TV, muigizaji na rapper. Ni muda wa Mr Moss kutake over.”
Mwaka 2001 alibadili jina kutoka Lil Bow Wow na kuitwa Bow Wow na sasa ni zamu ya Mr Moss
Kundi la Mapacha jana (June 23) wametambulisha ngoma yao mpya baada ya ukimya wao wa muda mrefu, wimbo ambao wamedai wamemshirikisha muigizaji wa Bongo Movie Elizabeth Michael aka Lulu. Lakini Lulu leo amekana kushirikishwa katika wimbo huo kwa kusema kuwa hana taarifa zozote wala haujui wimbo huo.
Hiki ndicho alichokiandika Instagram:
Hiki ndicho alichokiandika Instagram:
“Mwe mwe mwe…!Mbona mnaninyasanyasa…’in Senga’s voice’
I swear sina idea na Huku kushirikishwa….au kuna Elizabeth Michael’Lulu’ mwingine!????
Dah…hebu mliosikia hyo nyimbo labda mniambieMana nashirikishwa ki miujiza jmn”.
I swear sina idea na Huku kushirikishwa….au kuna Elizabeth Michael’Lulu’ mwingine!????
Dah…hebu mliosikia hyo nyimbo labda mniambieMana nashirikishwa ki miujiza jmn”.
Wimbo mpya wa Mapacha unaoitwa ‘Time For The Money’ umetengenezwa na Tudd Thomas.
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
5:55 PM PT -- Meek just posted his first pic after prison -- chilling in a living room and cracking jokes about a friend's broken foot...
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Mansoor himid,aliyewahi kuwa mwakilishi na wakati flani waziri asiyekua na wizara maalum na pia ni shemeji wa rais karume, Akutwa na silaha...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Kiatu cha Nike Hypervenom cha mwaka 2014 kinavaliwa na wachezaji kama Welbeck, Neymar na Rooney kwenye kombe la dunia la 2014. Kiatu hichi c...
-
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhum...
-
Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaj...
-
Mark Wahlberg 's massive home in Beverly Park, CA is finally complete ... 30,000 square feet strong ... and it's t...
-
Amber Rose was a guest on the Breakfast Club last week , and she threw some shade towards Tyga and Kylie Jenner, alluding that the two wer...
-
Nicki Minaj didn't seem to have big problems with hilarious memes appearing on the internet following the release of her...


















































