Thursday, June 26, 2014
Mtayarishaji wa muziki na mmiliki wa studio za Burn Records, Sheddy Clever ameamua kuuza vifaa vyote vya studio yake kwa mtu yeyote anaetaka kuvimiliki
Kupitia Instagram, Sheddy ameweka picha ya vifaa vyake anavyouza na kutoa namba ya simu kwa mawasiliano.
“Habari ….. Vifaa vya s2dio @burnrecordz vyooote vinauzwa kwa anaehitaji cheki +255654067053 -> Mic, keyboard ,monitor speaker alesis,meza ya s2dio, mic stand, sound card, na vingine cheki hum.”
Akiongea na sammisago.com Sheddy ameeleza kuwa ameamua kuuza vifaa hivyo ili anunue vifaa vipya kabisa na vya kisasa zaidi, na kwamba chanzo cha uamuzi huo ni fedha alizozipata kupitia wateja wengi zaidi aliowapata tangu alipotoa wimbo wa Diamond ‘My Number One’.
Sheddy Clever aliutengeneza wimbo wa My Number One bila malipo lakini hivi sasa anakiri kupata mafanikio makubwa kupitia wimbo huo ambao umempa nafasi Diamond kushiriki kaika tuzo za MTV MAMA mwaka huu.
Kama unahitaji kumiliki vifaa vilivyotumika kuandaa nyimbo kali za Sheddy, mpigie kupitia 0654067053.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
0 comments:
Post a Comment