Thursday, June 26, 2014
On 9:05 AM by Unknown No comments

Polisi nchini Nigeria wamemkamata mtu mmoja anayetuhumiwa kutekeleza shambulizi katika duka la jumla jijini Abuja siku ya Jumatano na kusababisha vifo vya watu 21 na wengine kujeruhiwa.
Shambulizi hilo lililotekelezwa na kundi la kigaidi la Boko Haram lilitokea katika duka la Emab Plaza saa 10 jioni wakati wakaazi wa jiji hilo walipokuwa wanafanya manunuzi ya bidhaa kabla ya kwenda nyumbani.Msemaji wa polisi nchini humo Frank Mba amethibitisha kukamatwa kwa mshukiwa mmoja, na kuongeza kuwa watu waliojeruhiwa ni 17.
|
Kundi la kigaidi la Boko Haram limekuwa likitishia kuendeleza mashambulizi zaidi nchini humo wakati huu, jeshi likiendelea na Operesheni ya kuwasaka wasichana zaidi ya 200 waliotekwa na kundi hilo.
Mwezi Aprili mwaka huu, kundi la Boko Haram lilivamia kituo cha basi cha Nyanya na kutekeleza watu 75 na baadaye kukatokea na shambulizi lingine papo hapo na kusababisha watu 19 kupoteza maisha.
|
Juma hili, Boko Haram liliripotiwa kuwateka zaidi ya wanawake na wasichana 80 katika jimbo la Borno na kuwapeleka kusikojulikana.
Boko Haram inasema iko tayari kuwaachilia wasichana hao ikiwa serikali ya Nigeria itawaachilia wanachama wake, suala ambalo serikali ya Nigeria imekataa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
0 comments:
Post a Comment