Wednesday, October 15, 2014
On 5:19 AM by Unknown No comments

Kisiwa cha Hawaii
Mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook Mark Zuckerberg amenunua sehemu kubwa ya kisiwa cha Hawaii iitwayo Kauai ambayo ni hekari 700 kwa dola za Kimarekani milioni 100 ambapo atakuwa anamiliki eneo kubwa ambalo litaendana na hadhi ya bilionea, jarida la Forbes limeripoti.Hekari hizo 700 zitajumuisha beach resort, mashamba ya miwa na kilimo hai ambapo kwa sheria za Hawaii beach resort hiyo lazima iachwe wazi kwa matumizi ya jamii kwa sababu kisiwa hiko hakina sheria ya umiliki binafsi wa mchanga.
Mwaka jana mwenyekiti wa Oracle Larry Ellison alinunua upande mzima wa Lanai, Hawaii kwa dola milioni 600 ambapo stori nyingine zinasema Zuckerbug nae anaweza akawa na nia ya kuanzisha majengo upande huo wa Lanai baada ya kuonekana na mkewe Priscilla Chan kwenye maeneo hayo.
Haya yatakua maendeleo mengine ya Zuckerberg kwani mwaka 2010 alikodisha jengo lake ambalo lipo karibu na makao makuu ya office za Faceboook na mwaka uliofata aliongeza makazi yenye thamani ya dola za Kimarekani milioni 7 huko Palo Alto, California, Marekani ambapo
pia
baada ya muda mfupi alitumia dola milioni 30 kununua nyumba nne ambazo ziliunganishwa na makazi yake ya Palo Alto. Alivyoulizwa kuhusu ripoti zilizotolewa hivi karibuni kuhusu matumizi yake ya pesa msemaji wa Facebook alisema ‘Hatuna chochote cha kusema kuhusu maneno ambayo hayana ukweli ila asante kwa kututafuta’
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
0 comments:
Post a Comment