Friday, November 21, 2014
On 3:12 AM by Unknown No comments

Nay wa Mitego
Nay wa Mitego amesema wimbo wake mpya wa Akadumba aliouachia hivi karibuni utakuwa na video mbili tofauti.
Nay amesema kutokana na maudhui ya video, atafanya video mbili ili kutoa ladha mbili tofauti kwa mashabiki wa muziki wake.
“Nafikiri nahitaji kuwa na video mbili za huu wimbo halafu baadaye tutajua nini cha kufanya. This time nipo mbioni kuandaa maandalizi mazuri kwaajili ya video na panapo majaliwa nitasema ninaenda kushoot sehemu. Sitaki kusema ni wapi lakini panapo majaliwa kila kitu kitajulikana Sasa watu wapo kwenye mazoezi kwaajili ya kukamilisha kufanya video ikawa video inayoendana na wimbo,” Nay ameiambia Bongo5.
Kuhusu maana ya wimbo huo, Nay amesema:
“Akadumba wimbo kabisa nimemwimbia mwanamke, ni kama mwanamke na pia ni style ya mwanamke ya kucheza ambayo wanawake wengi wanaitumia sana. Pia wanaume wanaweza kuicheza, yaani ni uchezaji fulani hivi ninaweza kusema wakitanzania au wakiafrika ambayo haswa wanaoweza kuicheza zaidi ni wanawake kwa viungo vyao. Pia wanaume wanaweza. Akadumba ni neno ambalo tu lilikuja wakati tunatafuta pa kuanzia ili tupate wimbo, kwahiyo nia yangu ilikuwa ni kutafuta nyimbo nzuri ya kuchezeka. Unajua watu wa Nigeria wamechukua nafasi kubwa sana kwenye muziki wetu ndio maana nikaona na mimi nitengeneze kitu fulani ambacho kitakuwa cha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Yemen imesema wapiganaji wa kundi la al-Qaeda wamewaua watu sita katika mapi...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
0 comments:
Post a Comment