Sunday, July 20, 2014
On 6:22 AM by Unknown No comments
Wafanyakazi wa dharura wa Ukraine wanasema wamekuta miili ya watu 196 katika eneo ilipotokea ajali ya ndege yaMalaysia ya MH17.
Jumla ya watu 298 walikuwemo ndani ya ndege hiyo wakati iliporipotiwa kutunguliwa katika eneo linaloshikiliwa na waasi la ukanda wa Donetsk siku ya Alhamis.
Nchi za Magharibi zimekosoa vikwazo vinavyowekwa katika eneo ilipotokea ajali na kuitaka serikali ya Urusi kuweka shinikizo kwa serikali ya Ukraine kuruhusu kuingia katika eneo hilo.
Waangalizi wa kimataifa wanatarajia kutembelea eneo hilo tena hapo baadae.
Serikali zote Ukraine na Urusi zimetuhumiana kwa kuitungua ndege hiyo iliyokuwa ikiruka kutoka Amsterdam kwenda Kuala Lumpur.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
The Rock says his mom, Ata Maivia-Johnson and his cousin were struck HEAD ON by a drunk driver this week ... and luckily, they su...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
0 comments:
Post a Comment