Tuesday, July 1, 2014
On 12:52 PM by Unknown in ENTERTAINMENT No comments
Mtandao wa Forbes ambao unaaminika kwa kutoa orodha za uhakika kuhusu mastaa na watu wakubwa wakiwemo wafanyabiashara matajiri, kwa sasa wametoa orodha mpya ya mastaa wenye nguvu zaidi duniani yaani “most powerful celebrities” pamoja na kiasi cha pesa walichoingiza tangu mwezi June mwaka 2013 hadi June mwaka huu wa 2014.
Mwanamuziki maarufu Beyonce Knowles amefanikiwa kung’aa katika nafasi ya kwanza akimuacha kwa nafasi tano nyuma mume wake Jay Z ambaye yupo katika nafasi ya sita.
Kumi bora ya watu maarufu katika orodha hiyo ni pamoja na LeBron James, Oprah Winfrey, Rihanna, Jay Z, na Katy Perry.
Hii ndiyo orodha nzima ya kumi bora ya mastaa hao pamoja na kiasi cha pesa walichoingiza kwa mwaka mzima.
1) Beyonce: $115million
2)LeBron James – $72million
3)Dr. Dre – $620million
4)Oprah Winfrey- $82million
5) Ellen DeGeneres – $70million
6)Jay Z – $60million
7)Floyd Mayweather- $105million
8)Rihanna – $48million
9)Katy Perry- $40million
10)Robert Downey Jnr – $75million.
Note : Hii ni list ya most powerful celebrities na sio most richest celebrities.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
-
Yemen imesema wapiganaji wa kundi la al-Qaeda wamewaua watu sita katika mapi...
-
The Rock says his mom, Ata Maivia-Johnson and his cousin were struck HEAD ON by a drunk driver this week ... and luckily, they su...
0 comments:
Post a Comment