Thursday, July 3, 2014
Baada ya kuzushiwa kuwa ametofautiana na Rapper wa Kike Iggy Azalea, Rapper kutoka Young Money Nicki Minaj ameweka wazi kuwa hajawahikuwa na beef na msanii huyo na hana mpango a kuanzisha beef na Iggy ilikupata umaarufu zaidi.
Nicki Minaj alipokea tuzo ya Msanii Bora wa Hiphop Wa Kike kwenye tuzo za Bet na alishangilia kwa kucheza kama alivyocheza Iggy kwenye video yake ya Fancy kitendo kilicho tafsiriwa kwana Diss kwa Iggy kutoka kwa Minaj. Ukiacha kitendo hicho pia inasemekana Nicki aliwahi kukashifu kitendo cha Iggy kuandikiwa mistari na mtu asiyetaka kutajwa. Waandishi hawa huitwa GhostWriters
Nicki Minaj ametumia twitter kutoa maelezo kuwa amefuahishwa na mafanikio ya Iggy na anapenda kuona wasanii wakike wakifanya vizuri ata zaidi yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
The Rock says his mom, Ata Maivia-Johnson and his cousin were struck HEAD ON by a drunk driver this week ... and luckily, they su...
-
Vin Diesel confirms the rapper has a cameo in the upcoming flick. Iggy Azalea sure has a lot...
0 comments:
Post a Comment