Thursday, July 10, 2014
On 1:51 AM by Unknown No comments
beef kati ya rappers wakubwa wa kundi la May Bach Music Group (MMG) linaloongozwa na Rick Ross.
Rapper Meek Mill amemdiss waziwazi rapper mwenzake Wale kuwa amekuwa mchoyo wa fadhira na ameshindwa kusapoti albam yake inayokuja ya ‘Dreams Worth More Than Money’.

Kupitia Twitter, Meek Mill alieleza kuwa Wale anamchukia hivi sasa kwa kuwa hata wasanii wenzake wanapotweet kuhusu ngoma ya Meek Mill inayofuata ama albam yake, Wale amekuwa kimya haandiki chochote kwenye mitandao ya kijamii kuhusu hilo.
Amedai kuwa jamaa hata kumtumia ujumbe kwa simu siku hizi hamtumii.
“”Wale just ain’t gone tweet a thing about my album…. He’s been hating on me long time now …don’t even text me cornball! #UNOTMMG.” Aliandika kwenye Tweet yake moja.
Muda mfupi baada ya Meek Mill kufunguka, Wale nae akaandika maelezo marefu kwenye Instagram wakieleza kuwa yeye alimsapoti sana Meek Mill wakati anatoa wimbo wake ‘I Don’t Care (Suicidal)’ lakini hakupata sapoti kutoka kwa rapper huyo wakati anatoa ngoma yake ya ‘Razor Freestyle au wimbo aliomshirikisha Mariah Carey ‘You Don’t Know What to Do’...
kwahiyo we are even or????
Rapper Meek Mill amemdiss waziwazi rapper mwenzake Wale kuwa amekuwa mchoyo wa fadhira na ameshindwa kusapoti albam yake inayokuja ya ‘Dreams Worth More Than Money’.
Kupitia Twitter, Meek Mill alieleza kuwa Wale anamchukia hivi sasa kwa kuwa hata wasanii wenzake wanapotweet kuhusu ngoma ya Meek Mill inayofuata ama albam yake, Wale amekuwa kimya haandiki chochote kwenye mitandao ya kijamii kuhusu hilo.
Amedai kuwa jamaa hata kumtumia ujumbe kwa simu siku hizi hamtumii.
“”Wale just ain’t gone tweet a thing about my album…. He’s been hating on me long time now …don’t even text me cornball! #UNOTMMG.” Aliandika kwenye Tweet yake moja.
kwahiyo we are even or????
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Nicki Minaj didn't seem to have big problems with hilarious memes appearing on the internet following the release of her...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaj...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhum...
-
Yemen imesema wapiganaji wa kundi la al-Qaeda wamewaua watu sita katika mapi...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
0 comments:
Post a Comment