Tuesday, July 8, 2014
On 1:58 AM by Unknown No comments
Kila shabiki wa muziki huchagua wapenzi anaowapenda na kuamua kuwafuatilia kwenye kila jambo wanalofanya, mfano mzuri ni msanii Msami na star wa bongo movie Irene, Wema na Diamond, Drake na Rihanna na sasa ni hii ni kwa wale Wa Chris Brown Na Karrueche.
Taarifa mpya kuhusu mahusiano yao zinasema kuwa wapenzi hawa wametengana siku mbili zilizopita na kwamba Chris Brown amefuta picha zote kwenye kurasa yake ya Instagram kama ishara ya kumfuta Karrueche kwenye maisha yake.
Blog Za Marekani zinasema sio muda mrefu watarudiana tena, washawazoea na ndio kawaida yao. Awamu hii msanii Rihanna ambaye ameshawahui kuhusishwa na kuwagombanisha wapenzi hawa hajahusishwa kabisa na kutengene kwao .
Karrueche alipost ujumbe kuhusu mapenzi uliosema “Love what you have before life teaches you to love what you lost”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
-
Yemen imesema wapiganaji wa kundi la al-Qaeda wamewaua watu sita katika mapi...
0 comments:
Post a Comment