Friday, August 8, 2014
On 5:55 AM by Unknown No comments
Damu ya Afrika aliyonayo Akon inamfanya kuifikiria Afrika mara kwa mara huku akifanya jitihada za kuisaidia kadri awezavyo. Mwimbaji huyo ameweka wazi kupitia Instagram kuwa mwezi September yeye na watu wake watakuwa nchini Kenya ili kuweka katika uhalisia mipango mingi waliyopanga na rais Uhuru Kenyatta baada ya kumtembelea katika ubalozi wa Kenya nchini Marekani.
“Visiting President Kenyatta of Kenya. He has great visions for Kenya and we shall be there in September to discuss how to make those vision come to life. 1” Ameandika Akon katika post ya picha akiwa na rais Kenyatta.
Akon anaendelea na kampeni yake ya kuisaidia Afrika inayotumia slogan ya ‘Akon Lighting Africa’
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
The Rock says his mom, Ata Maivia-Johnson and his cousin were struck HEAD ON by a drunk driver this week ... and luckily, they su...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
0 comments:
Post a Comment