Thursday, November 20, 2014
On 4:25 AM by Unknown No comments
Msanii mkongwe wa Bongo fleva Dully Sykes amesema wimbo wake aliomshirikisha Maunda Zoro uliovuja hivi karibuni, ulirekodiwa miaka sita iliyopita kipindi ambacho alikuwa bado kwenye ‘foolish age’.
“Hiyo ni ngoma ambayo imevuja ni ya siku nyingi sana, kwasababu kwanza hata nilikuwa sijui ilipo wapi kwasababu ni nyimbo ya kuanzia Dhahabu Records, kabla hata sijafungfua studio nyingine.” Dully ameiambia Bongo5 .
“Mimi nimeiacha tu ivuje kwasababu siwezi hata… nyimbo kama hiyo kweli unaweza hata kuifanyia video? Siwezi, hiyo nyimbo tangia mwaka 2008,mpaka sasa hivi karibia miaka sita.”
Baada ya wimbo huo kuvuja Dully amesema unaweza kutumika sehemu zinazoweza kuruhusu nyimbo za aina hiyo (matusi), lakini ameomba usisambazwe wala kupigwa kwenye redio.
“Inaweza kupigwa club inaweza kupigwa kwenye ma pub au sehemu yoyote sio mbaya kama itasambaa kwa njia hiyo lakini sio ivuje isambae kwa njia ya media kwa radio. Kwasababu hata miaka ambayo nimerekodi hiyo pia ilikuwa miaka ya foolish age, na sasa hivi nina miaka yangu iko tofauti kabisa miaka sita mbele ina maana hata akili yenyewe imebadilika.” Alimaliza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Yemen imesema wapiganaji wa kundi la al-Qaeda wamewaua watu sita katika mapi...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
0 comments:
Post a Comment