Thursday, June 26, 2014
On 8:19 AM by Unknown No comments
Mlipuko wa bomu uliotokea mbele ya Mall inayochukua watu wengi zaidi Abuja, Nigeria limeua watu zaidi ya 21.
Mlipuko huo umetokea jana na kuwashitua watu wengi katika eneo hilo lililo katikati ya jiji la Abuja huku vilio vya majonzi vikitawala na mamia ya watu waliokuwa wameenda kufanya manunuzi wakizungukwa na damu kama sio kupoteza maisha
Magari yaliyokuwa mbele ya Mall hiyo yaliteketea kwa moto, na mashuhuda walieleza kuwa walikuwa wanaona vipande vya miili ya watu vikisambaa katika eneo hilo.
Ingawa hakuna kundi lolote lililodai kuhusika na shambulizi hilo, wengi wanaamini shambulizi hilo litakuwa limefanywa na kundi la Boko Haram linalowashikilia watoto zaidi ya 260 kwa sasa, tangu iwashikilie wasichana 200 mwaka huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
0 comments:
Post a Comment