Tuesday, August 5, 2014
On 6:24 AM by Unknown No comments
Kundi la Rockaz linaloundwa na wasanii Quick Rocka,Mo Rocka, Dau Rocka na Chief Rocka limeingia studio kwaajili ya kazi mpya. Fahamu hii ni mara ya kwanza kundi hili linafanya kazi pamoja toka mwaka 2011.
“Kundi lipo studio siku tatu mfululizo wakitengeneza nyimbo studio tofauti ambazo ni Fish Crb [Lamar], Am Records [Maneck] na Switch [Nah Reel] ,Lengo ni kujenga chemistry tena na kuwa na kazi nyingi iliwachague inatoka ipi, Pia kabla ya mwezi wa tisa wataweza kutoa Audio moja na video moja” Alisema Quick Rocka.
Kuhusu Mo Rocka kuwepo kwenye kundi na kwenye nyimbo Quick amesema mpaka sasa simu ya Mo Rocka haipatikani na wametumia nguvu kumtafuta bila mafanikio, wataendelea kurekodi mpaka akipatikana atafanya sehemu yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
-
Channel O walitisha sana na maandalizi ya mwaka huu wa 2014 ambapo magari mbalimbali yalitumika kuwaleta mastaa mpaka kwenye stage...
-
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhum...
0 comments:
Post a Comment