Wednesday, June 25, 2014
On 12:49 PM by Unknown in ENTERTAINMENT No comments
Ammy Nando aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa mwaka jana akiiwakilisha Tanzania amefungukua kuwa na yeye alikuwa moja kati ya wanaotumia dawa za kulevya.
Amesema hivi sasa ameamua kuacha kutumia Unga na ameshakamilisha miezi 16 tangu afanya maamuzi hayo.
Hata hivyo, Nando anasema anaendelea kutumia bangi na anavuta mbili kwa siku ili kurefresh kutoka kwenye matumizi ya unga.
Anasema kwake bangi haimuumizi ila unga ndio tatizo kubwa na ameachana nalo.
Nando ameeleza sababu zilizompekea kutumbukia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya:
Sababu ya kuingia huko, ni ujana tu mwanangu…unajua ujana ni maji ya moto kama watu wanavyosema. Na pee pressure na watu niokuwa nao wakati ule, na life nililoishi mimi…ni yale maisha ya kujiachia.
Chanzo: timesfm.co.tz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Nicki Minaj didn't seem to have big problems with hilarious memes appearing on the internet following the release of her...
-
Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaj...
-
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhum...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Mark Wahlberg 's massive home in Beverly Park, CA is finally complete ... 30,000 square feet strong ... and it's t...
-
Amber Rose was a guest on the Breakfast Club last week , and she threw some shade towards Tyga and Kylie Jenner, alluding that the two wer...
-
5:55 PM PT -- Meek just posted his first pic after prison -- chilling in a living room and cracking jokes about a friend's broken foot...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Justin Bieber amepata ajali ya gari akiwa katika gari lake la Cadillac Escalade wakati akiwakimbia mapaparazzi, Beverly Hills. Kwa mujibu w...

0 comments:
Post a Comment