Tuesday, July 15, 2014
On 6:49 AM by Unknown No comments
Rapper, producer na mwanzilishi wa Beats Electronics, Dr. Dre ni miongoni mwa mashabiki wa timu ya taifa ya Ujerumani iliyotwaa kombe la FIFA la dunia jana (July 13) nchini Brazil.
Kutokana na ushindi huo wa Ujerumani Dre ameamua kuipongeza timu hiyo kwa zawadi special ya headphones za dhahabu (special edition 24 carat gold dipped Beats Pro headphones). Wachezaji wote 23 watapata headphones kila mmoja pamoja na meneja wao wa 24.Naomi Campbell ndiye model aliyehusika katika upigaji picha wa kampeni hiyo ya ‘Golden Project’ ya Beats by Dre. Campbell anaonekana katika picha akiwa amevalia nguo ya rangi ya dhahabu, akiwa ameshika mpira wa dhahabu huku amevaa headphone ya dhahabu.
Akizungumzia furaha yake ya kushiriki katika dili hilo la Beats Naomi amesema:
“Working on the ‘Golden’ project with Beats by Dr. Dre was so much fun. The shoot was loud and energetic…I even got to practice my football skills! This was the first time I’ve had the chance to work with the legendary Rankin, so it was a dream shoot. The ‘Golden’ project is the perfect way to celebrate the German victory and I’m glad to be a part of this campaign.” Beats By Dre nao pia kupitia akaunti yao ya Instagram wameandika:“A golden finish @gotzemario. Respect to #BastianSchweinsteiger. @IAmNaomiCampbell with your Custom Celebration Gold Pros. #GER”

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Nicki Minaj didn't seem to have big problems with hilarious memes appearing on the internet following the release of her...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaj...
-
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhum...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
-
Richard Linklater's 12-year experiment " Boyhood " has garnered positive reviews from critics and it just added a famous name ...
-
Snoop Dogg has put a big fat target on a guy who's now being gay bashed, and the guy is now preparing a lawsuit against Mr. D. Cortez ...
-
Amber Rose was a guest on the Breakfast Club last week , and she threw some shade towards Tyga and Kylie Jenner, alluding that the two wer...
0 comments:
Post a Comment