Sunday, July 20, 2014
On 12:14 AM by Unknown No comments
Wacheza filamu maarufu kutoka nchini Marekani ambao pia ni wapenzi Angelina Jolie na Brad Pitt wanatarajia kurejea wakiwa pamoja kwenye majumba ya sinema kwa kucheza filamu ya pamoja iliyopewa jina la “By The Sea.” ambapo Angelina anatarajia kuongoza filamu hiyo huku wote wawili wakiwa ndio watayarishaji.
Picha za filamu hiyo zitapigwa katika visiwa vya Malta na Gozo.
Jolie amethibitisha habari hizo akisema kuwa anafurahi sana kuendeleza mahusiano yake na kampuni kubwa ya utengenezaji filamu ya Universal wakati akiwa anamalizia kutengeneza filamu ya ‘Unbroken’ na kuanza kutengeneza filamu ya ‘By the Sea.
Kama wewe ni mpenzi wa filamu za Angelina Jolie tarajia mambo makubwa kutoka kwenye filamu hizo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Arnold Schwarzenegger was born and raised in Austria. But The Expendables 3 star looked like a true American as he left Cafe Roma in Beverly...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
ITALIA imeaga Kombe la Dunia nchini Brazil baada ya kufungwa 1-0 na Uruguay, bao pekee la Diego Godin katika mchezo ambao mshambuliaji Luis ...
-
Baada ya habari za ndege ya Malaysia airline hivi sasa ajali nyingine imetoka karibu kabisa na Tanzania ambapo ni nchini Uganda. Ndege hiy...
-
Diamond Platnumz ameingia Dar es salaam usiku wa July 10 mashabiki wengi wakiongozwa na mama yake,dada yake pamoja na mpenzi wake Wema S...
-
Kuna watu wengi maarufu ambao pesa zao nyingi hupeleka kwenye bata na mambo mengine, lakini kiungo wa timu ya taifa ya Ghana sulley Muntari...
0 comments:
Post a Comment