Friday, July 18, 2014
On 1:33 AM by Unknown No comments
Kama ulidhani mahusiano ya rapper Lil Wayne na msanii wa Rnb Christina Milian ni ya kibiashara zaidi basi kwa sasa imafahamika kuwa wawili hawa wako kwenye mahusiano ya kimapenzi na tayari wameanza kuonyesha watu baada ya kuonekana kwenye tuzo za ESPYS. Wayne alimshika mkono kwa nguvu Christina Milian wakati wanaingia pamoja kwenye tuzo hizo na hawakuona aibu kurekodiwa wakiwa wawili na camera za show hio.
Awali Christina Milian alikuwa na msanii The Dream na mahusiano yao yalizaa mtoto moja, hivi karibuni ameachana na mchumba wake Jas Prince. Hivi karibuni Lil Wayne alimdiss mchumba wa Christina ‘Jas Prince’ kwenye wimbo wake kwa kusema “I’ll take your Tina” (Short for Christina), and “She needs a king, f-ck a prince” (in reference to Jas Prince).
Jas Prince anasema ameumizwa na kitendo cha Lil Wayne kumtukana na kumchukua mpenzi wake kwani walikuwa marafiki na yeye ndiye alimtambulisha Drake kwa Lil Wayne na ndiye alimsaidia Christina kupata record lebel ya Young Money mwaka 2012.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Arnold Schwarzenegger was born and raised in Austria. But The Expendables 3 star looked like a true American as he left Cafe Roma in Beverly...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
ITALIA imeaga Kombe la Dunia nchini Brazil baada ya kufungwa 1-0 na Uruguay, bao pekee la Diego Godin katika mchezo ambao mshambuliaji Luis ...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Baada ya habari za ndege ya Malaysia airline hivi sasa ajali nyingine imetoka karibu kabisa na Tanzania ambapo ni nchini Uganda. Ndege hiy...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Kuna watu wengi maarufu ambao pesa zao nyingi hupeleka kwenye bata na mambo mengine, lakini kiungo wa timu ya taifa ya Ghana sulley Muntari...
0 comments:
Post a Comment