Thursday, August 21, 2014
On 3:59 AM by Unknown No comments
Akiwa kama mzazi, Jackie Chan ameeleza kuwa yeye pia anapaswa kuwajibika kwa kushindwa kumpa malezi bora mwanae hivyo akachukua nafasi hiyo kwa niaba yake kuomba radhi kwa kilichotokea huku akimtaka mwanae Jaycee kufahamu kuwa amefanya kosa na anapaswa kuwajibika.
Hiki ndicho alichokieleza:
“Niliposikia habari, nilikasirishwa sana. Kama mtu mashuhuri katika jamii, najisikia aibu; kama baba yake, nimesikitishwa sana na ameniangusha. Lakini mtu aliyevunjwa moyo zaidi ni mama yake. Ninatumaini kizazi kinachofuata kitajifunza kutoka kwa kosa la Jaycee. Umefanya kitu ambacho ni kosa na unapaswa kuwajibika na madhara yake. Mimi ni baba yako na siku zote nitakuwa na wewe. Tutaface yaliyombele yetu pamoja.Napaswa pia kuchukua sehemu ya wajibu kama baba, sikukufumfundisha vyema.”
“Kwa hiyo, kwa niaba ya Jaycee na mimi, ninamuomba radhi kila mmoja kwa madhara hasi yote yaliyosababishwa. Asanteni.”
Jaycee, ni muigizaji pia na ameshafanya filamu kadhaa. Baba yake aliwahi kusikika akimwambia kuwa anapaswa kutengeneza pesa yake mwenyewe kupitia filamu zake na sio kumtegemea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Nicki Minaj didn't seem to have big problems with hilarious memes appearing on the internet following the release of her...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaj...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhum...
-
Yemen imesema wapiganaji wa kundi la al-Qaeda wamewaua watu sita katika mapi...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
0 comments:
Post a Comment