Thursday, August 14, 2014
On 2:04 AM by Unknown No comments
Mtangazaji wa 93.7 E-FM kupitia kipindi cha Genge, DVJ Penny ambaye wiki kadhaa zilizopita picha zake zilisambaa mtandaoni zikimuonyesha akiwa amevishwa pete ya uchumba huku mwanaume aliyefanya tukio hilo akiwa ni kitendawili, hatimaye mwanadada huyo ameibuka na kumuweka wazi mpenzi wake.....
Akiongea na mwandishi wetu, rafiki wa karibu wa Penny amesema kuwa jamaa aliyemvalisha pete ni kigogo mwenye pesa chafu anayemiliki migodi kadhaa ya madini anayefahamika kwa Jina la Johnson raia wa Angola....
Akiongea kwa kirefu zaidi, msichana huyo alisema," Watu wanaumiza vichwa vyao kufikiri ni nani aliyechukua maamuzi magumu ya kumvisha pete Penniel, lakini ukweli ni kwamba huyo jamaa ni mtu mwenye pesa chafu raia wa Angola,"
Rafiki huyo amesema kuwa kutokana na jeuri ya pesa ya kigogo huyo, Penny anatarajia kufanyiwa bonge la harusi na watafanya kila namna ili Diamond awe mtumbuizaji katika sherehe hiyo....
"Huko kwao Johnson anamiliki migodi zaidi ya kumi ya Almasi na yupo hapa nchini kwa ajili ya uwekezaji, anampenda sana Penny na ameahidi kumfanyia kila atakacho," alisema msichana huyo.
Baada ya kupata umbea huo, Mwandishi alimtafuta Penny kupitia simu yake ya mkononi na kumhoji juu ya taarifa hizo ambapo alikiri kuwa na mchumba na kusema ndoa iko karibuni.
"Nimeshakuwa sasa, hivyo nahitaji kuolewa, ni kweli nina mchumba na ni raia wa Angola, Inshaaalah Mungu akipenda mambo mazuri yanakuja, ntakutaarifu," alisema Penny
Alipoulizwa kuhusu Diamond kutumbuiza kwenye harusi yake, Penny alijibu;
"Kutakuwa na wasanii wengu tu sasa na yeye kama atapokea mwaliko wa kuja kutubuiza atapatiwa nafasi, akiona vipi, halazimishwi."
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Nicki Minaj didn't seem to have big problems with hilarious memes appearing on the internet following the release of her...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaj...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
-
Amber Rose was a guest on the Breakfast Club last week , and she threw some shade towards Tyga and Kylie Jenner, alluding that the two wer...
-
Yemen imesema wapiganaji wa kundi la al-Qaeda wamewaua watu sita katika mapi...
-
The Rock says his mom, Ata Maivia-Johnson and his cousin were struck HEAD ON by a drunk driver this week ... and luckily, they su...


0 comments:
Post a Comment