Tuesday, September 30, 2014
On 2:37 AM by Unknown No comments
Chris Brown ameingia tena matatizoni baada ya kumzingua shabiki wa kike anaedaiwa kumrukia na kujaribu kumkiss mbele ya mrembo wake Karrueche Tran katika Club moja ya usiku.
mwimbaji huyo wa ‘Loyal’ aliyekuwa na onesho katika club hiyo huko Texas, badala ya kuwaacha walinzi wake wamshughulikie msichana huyo kwa hasira alimsukuma vibaya. Vyanzo vimeieleza Hollywoodlife kuwa mama mzazi wa Chris Brown na mpenzi wake wamekuwa na hofu kubwa kufuatia matatizo mfululizo yanayomtokea mwimbaji huyo.
Chris Brown alishauriwa hivi karibuni kutojiingiza katika matatizo baada ya kutoka jela hivi karibuni alikotumikia kifungo cha siku 108 kwa kosa la kuvunja masharti ya kipindi cha matazamio.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Nicki Minaj didn't seem to have big problems with hilarious memes appearing on the internet following the release of her...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaj...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhum...
-
Yemen imesema wapiganaji wa kundi la al-Qaeda wamewaua watu sita katika mapi...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
-
Will Smith , who is gearing up for his new film " Focus " with Margot Robbie , opens up about his experience in 25 y...
0 comments:
Post a Comment