Monday, September 22, 2014
On 6:10 AM by Unknown No comments
Member wa kundi la zamani la Chemba Squad, Moses Bushagama aka Mez B amejikuta akiingia kwenye kashfa baada ya picha alizopiga na wasichana wawili wakiwa watupu huku amewashika maziwa, kuvuja na kusambaa kwenye mitandao.
Mez B amejitetea kwa kusema kuwa alilazimishwa kupiga picha hizo na maboyfriend wa wasichana hao ambao ni wazungu.
“Zile picha bwana dah hata mimi nimesikitika pia… mi nilikuwa nashoot video…sasa kuna wadada wawili walikuwa wanaoga kwenye swimming pool na maboyfriend zao wazungu Mikadi na walikuwa vifua wazi tu vile vile, sasa mwisho wa picha wakaomba kupiga picha. Actually mimi nilikataa kwa style ile, mwisho wa siku wakaja na maboyfriend zao wakawa wananilazimisha please please just do it just do it bana picha tu, director wangu mwishoni akasema ngoja tupige tu tuwaridhishe then si tunazifuta”. Amesema Mez B kupitia U Heard ya XXL ya Clouds Fm.
Mez B ameongeza kuwa tukio hilo lilitokea mwaka jana mwishoni na hajui ni nani ambaye amezivujisha picha hizo.
“Ni muda sana yaani hizo picha ni za mwaka jana mwishoni mwezi wa 12 nilipokuwa nashoot video ya shemeji, kwahiyo sasa nimeshangaa hizo picha hazikufutwa na zimesambaa na hata director mwenyewe nimemuuliza yeye mwenyewe anashangaa na kwasababu kuna dogo mmoja alikuwa anafanya nae pale kazi wakagombana, yule dogo aliondoka kwahiyo akawa anamuhisi huyo dogo atakuwa ndio amezivujisha.Director mwenyewe anasema sio yeye ofcourse ni mtu na heshima zake yaani”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Nicki Minaj didn't seem to have big problems with hilarious memes appearing on the internet following the release of her...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaj...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhum...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kibok...
-
Amber Rose was a guest on the Breakfast Club last week , and she threw some shade towards Tyga and Kylie Jenner, alluding that the two wer...
-
Yemen imesema wapiganaji wa kundi la al-Qaeda wamewaua watu sita katika mapi...
0 comments:
Post a Comment