Wednesday, September 24, 2014
On 4:34 AM by Unknown No comments
Mwimbaji wa Bongo Flava, Rich Mavoko amewataka wasanii wa Tanzania kukumbuka mchago wa mtayarishaji mkongwe wa videos za muziki nchini Adam Juma pale wanapofikiria kuhusu kiasi cha kumlipa.
Mavoko ambaye anatarajia kuachia video mpya ya wimbo wake ‘Pacha Wangu’ aliyoifanya Cape Town, Afrika Kusini na kuongozwa na Adam Juma amewataka wasanii wasilalamike kuwa Adam Juma anahitaji pesa nyingi ya kufanyia video bila kukumbuka uwezo wake na mchango wake.
“Lakini tuangalie pia ametutoa wapi. Movement zake kuhusu music video Adam Juma ameitoa wapi. Tuapreciate kitu ambacho amekifanya. Mimi naweza nika-appreciate media, maDj, na wasanii wenzangu basi tuapreciate pia (Adam J) ametutoa mbali ujue.”
Akizungumzia kuhusu video yake, ameeleza kuwa Adam Juma alisafiri na crew yake yote na alitumia vifaa vya kisasa kukamilisha kazi nzima Cape Town.
“Analipwa kawaida, analipwa vilevile tu.” Ameongeza.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Mansoor himid,aliyewahi kuwa mwakilishi na wakati flani waziri asiyekua na wizara maalum na pia ni shemeji wa rais karume, Akutwa na silaha...
-
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhum...
-
Nicki Minaj didn't seem to have big problems with hilarious memes appearing on the internet following the release of her...
-
5:55 PM PT -- Meek just posted his first pic after prison -- chilling in a living room and cracking jokes about a friend's broken foot...
-
Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaj...
-
Kiatu cha Nike Hypervenom cha mwaka 2014 kinavaliwa na wachezaji kama Welbeck, Neymar na Rooney kwenye kombe la dunia la 2014. Kiatu hichi c...
-
Mark Wahlberg 's massive home in Beverly Park, CA is finally complete ... 30,000 square feet strong ... and it's t...
-
Amber Rose was a guest on the Breakfast Club last week , and she threw some shade towards Tyga and Kylie Jenner, alluding that the two wer...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
0 comments:
Post a Comment