Thursday, September 18, 2014
On 6:46 AM by Unknown No comments
Tamasha la TribeOne ambalo lilikuwa lifanyike kwa siku tatu kuanzia September 26 huko Cullinan, Afrika Kusini limeahirishwa.
Kwenye tamasha hilo lililokuwa linatarajiwa kuwa kubwa zaidi kuwahi kufanyika barani Afrika Nicki Minaj, Macklemore and Ryan Lewis, J Cole na Kid Ink walikuwa watumbuize pamoja na wasanii wengine wakubwa wa Afrika, akiwemo Alikiba.
Waandaaji wametaja sababu za kuahirishwa kwa tamasha hilo ni kuchelewa kukamilika kwa maandalizi ya sehemu ambapo lingefanyika.
“Site preparation and related infrastructure development required to host the Festival, being the responsibility of the CoT, fell behind schedule to a material extent, such that it was no longer realistically possible to stage and deliver the Festival to the scale and quality that the organizers had always planned. Under the circumstances, and despite efforts to seek alternative arrangements, the organizers have had no option but to cancel the event,” wameandika kwenye maelezo yake.
“TribeOne Festivals apologises to all of those who were looking forward to the Festival – both the ticket holders, and the international and local performing artists who were booked by TribeOne Festivals for the event. All ticket holders will be reimbursed, details of this process will be announced shortly.”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Nicki Minaj didn't seem to have big problems with hilarious memes appearing on the internet following the release of her...
-
Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaj...
-
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhum...
-
Miley Cyrus updated her Instagram with lots of photoshopped pictures. This time, Justin Bieber 's Calvin Kl...
-
Amber Rose was a guest on the Breakfast Club last week , and she threw some shade towards Tyga and Kylie Jenner, alluding that the two wer...
-
5:55 PM PT -- Meek just posted his first pic after prison -- chilling in a living room and cracking jokes about a friend's broken foot...
-
Mark Wahlberg 's massive home in Beverly Park, CA is finally complete ... 30,000 square feet strong ... and it's t...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
Kiatu cha Nike Hypervenom cha mwaka 2014 kinavaliwa na wachezaji kama Welbeck, Neymar na Rooney kwenye kombe la dunia la 2014. Kiatu hichi c...
0 comments:
Post a Comment