Wednesday, October 8, 2014

On 12:27 AM by Unknown   No comments
ariana-grande--zMsanii Ariana Grande na rapper Big Sean wamethibitisha kuwa ni wapenzi baada ya kupigwa picha wakipeana busu ndani ya Universal Studios huko

Hollywood
, Ariana mwenye miaka 21 na Big Sean ’26’ wamekuwa wakificha mahusiano yao kwa muda sasa ila kwa sasa ushahidi wa picha umeweka wazi mambo yote. ariana-grande-big-sean ariana-grande-big-sean-pda-club-lead 

0 comments:

Post a Comment