Thursday, October 9, 2014
On 4:49 AM by Unknown No comments
Kesi ya utekaji iliyokuwa ikimkabili Madee imemalizika kwa kulipa faini ya shilingi 50,000.
Madee alidaiwa kumteka kijana mmoja huko Kigamboni baada ya kumuibia simu. Hakimu ametoa hukumu ya kifungo cha jela miezi sita au kulipa faini ya kiasi hicho cha fedha Madee alilipa faini.“Yule dogo baada ya kuniibia simu tulimgonga kwa nyuma akaanguka tukamwokota na kumbeba kwenye Noah yetu tukaondoka naye. Kesho yake nilikuwa na safari ya kwenda Mwanza kwahiyo nikaachia masela wampeleke polisi na hapo mimi nilishampigia simu mama yake ili aongee na mwanae aseme simu yangu iko wapi. Simu yangu yenyewe ndio ilikuwa kila kitu. Kwahiyo nilivyoondoka nikiwa sina hata mawasiliano, nikaenda Mwanza nimefanya show, nimerudi Jumatatu asubuhi nikaulizia mtuhumiwa wangu nikaambiwa yupo Magomeni. Nikaenda Magomeni polisi nikaambiwa dogo kahamishiwa Kigamboni,” amesimulia Madee.
“Nikaamua kwenda Kigamboni, kwenda Kigamboni nikaambiwa ‘bwana wewe ndo unashtakiwa ukitaka kumteka huyu dogo’ ndio nikawekwa ndani, nikalala siku moja, asubuhi nikadhaminiwa nikatoka kesi ikaenda mahakamani. Mahakamani kesi ikaahirishwa siku ya kwanza siku ya pili ikapita, hukumu nikaambiwa kati ya kwenda jela miezi sita au kulipa faini 50,000. Nikalipa faini na kesi ikaisha. Yaani mimi ndo nimekuwa mwenye kosa, mimi ndo niliyelipa faini.”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Arnold Schwarzenegger was born and raised in Austria. But The Expendables 3 star looked like a true American as he left Cafe Roma in Beverly...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
ITALIA imeaga Kombe la Dunia nchini Brazil baada ya kufungwa 1-0 na Uruguay, bao pekee la Diego Godin katika mchezo ambao mshambuliaji Luis ...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Baada ya habari za ndege ya Malaysia airline hivi sasa ajali nyingine imetoka karibu kabisa na Tanzania ambapo ni nchini Uganda. Ndege hiy...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Kuna watu wengi maarufu ambao pesa zao nyingi hupeleka kwenye bata na mambo mengine, lakini kiungo wa timu ya taifa ya Ghana sulley Muntari...
0 comments:
Post a Comment