Wednesday, October 8, 2014

On 5:49 AM by Unknown   No comments
7de2c120-233c-11e4-91fa-2de08d106e24_North-West-CR-Fashion
Kim Kardashian anadaiwa kuajiri stylist na mshona nguo maalum kwaajili ya mwanae North mwenye mwaka mmoja atakayekuwa na kazi ya kutengeneza nguo zake.
Mtu huyo atahakikisha kuwa North anakuwa na nguo za peke yake na zinazompendeza. Chanzo kimeliambia jarida la Grazia kuwa mtu huyo anayelipwa mshahara kama stylist wa North atakuwa akifanya kazi bega kwa bega na timu ya mitindo ya Kim na Kanye kutengeza nguo maalum.
Kimesema nguo nyingi za North zinafafana na za mama yake ikiwa ni pamoja na viatu na mikoba.

0 comments:

Post a Comment