Wednesday, October 15, 2014
On 2:12 AM by Unknown No comments
Mtandao wa TMZ wa Marekani umesema baada ya askari wa Los Angeles kuangalia kamera na kukusanya taarifa mbalimbali kutoka kwa mashahidi wamempata muhusika aliyempiga risasi Suge na wanaendelea kukusanya mashahidi ili kupata maelezo zaidi juu ya kesi hiyo.
Suge Knight alipigwa risasi mara sita kwenye klabu iitwayo West
Hollywood
1Oak kwenye party iliyoandaliwa na kufanyika kabla ya utoaji wa tuzo (VMAs) ambayo iliendeshwa na mwimbaji staa Chris Brown.Muhusika mkuu huyo wa zamani wa studio iitwayo Death Rows alisema hausiki tena na kitendo hicho kilichotokea cha kupigwa risasi >>> ‘Mimi sijui kinachoendelea, na hata kama najua nani alishika risasi sidhani kama kuna umuhimu, ninaendelea vizuri na nina furaha kuwa naendelea vizuri, kilichotokea kimeshatokea’
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Arnold Schwarzenegger was born and raised in Austria. But The Expendables 3 star looked like a true American as he left Cafe Roma in Beverly...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
ITALIA imeaga Kombe la Dunia nchini Brazil baada ya kufungwa 1-0 na Uruguay, bao pekee la Diego Godin katika mchezo ambao mshambuliaji Luis ...
-
Baada ya habari za ndege ya Malaysia airline hivi sasa ajali nyingine imetoka karibu kabisa na Tanzania ambapo ni nchini Uganda. Ndege hiy...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
-
Kuna watu wengi maarufu ambao pesa zao nyingi hupeleka kwenye bata na mambo mengine, lakini kiungo wa timu ya taifa ya Ghana sulley Muntari...
0 comments:
Post a Comment