Monday, November 17, 2014
On 2:03 AM by Unknown No comments
Licha ya kuwa tukio la kuvuja kwa picha za utupu limempa picha mbaya kwa jamii muimbaji wa Uganda Desire Luzinda, lakini upande mwingine limemuongezea umaarufu mkubwa kwa muda mfupi ambao hakuwahi kuupata kupitia muziki wake ambao amekuwa akiufanya miaka mingi.
Sasa amefahamika zaidi ndani na nje ya Uganda.Kwa mujibu wa Bigeye ya Uganda, Luzinda amewaambia marafiki zake jinsi alivyokuwa maarufu kupitia picha moja tu ya utupu.
“Nimepoteza muda mwingi kufanya muziki, nimejitahidi sana kutoa hits. Yote hiyo ilikuwa kazi ngumu, lakini picha moja tu ya utupu Uganda nzima inanizungumzia mimi. Nimeweza hata kwenda BBC na Daily Mail. Muziki wangu usingeweza kunifikisha kwenye hizo sehemu lakini mwili wangu umeweza.” Inadaiwa Luzinda aliwaambia marafiki zake.
Aliongeza, “Nafikiria mtu kama Kim Kardashian anaogopa kwasasa. Vinginevyo, kwanini akimbilie kupiga picha za utupu wakati ambao BBC imenihoji mimi. Anahofia. Hataki kukubali ukweli kwamba sisi watu weusi tuna miili mizuri na tunavutia. Kama yeye ame ‘break the Internet, mimi nitaivunja vizuri zaidi.”
“Kuna vingi tunavyofanana, lakini lazima niseme, mimi ni mzuri zaidi, Wakati ambapo mkanda wangu wa ngono utakapotoka, mkanda wa ngono wa Kim utapotea kwasababu wangu umejaa mvua za elnino. Lakini ngoja niende taratibu, muda ukifika, sitavunja tu internet, nitaifunga internet na ‘bombastic sextape’ yangu.”
Wakati huo huo Luzinda ameingia studio kurekodi wimbo uitwao ‘Apology’, ukiwa ni maalum kwaajili ya kuwaomba radhi mashabiki wake, marafiki na familia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Slider
MusicView All
TechnologyView All
PicturesView All
GamesView All
Labels
Category
Ads
Text
Find Us On Facebook
Link List
Contact Form
Blogroll
Flickr Images
728x90 AdSpace
Label
FashionView All
Latest News
Popular Posts
-
It's good to be Iron Man — Robert Downey Jr. once again leads Fo...
-
Tumezoea kusikia wakati wa kufunga ndoa watu wakila kiapo kuwa watapendana hadi kifo kitakapowakuta, kia...
-
Arnold Schwarzenegger was born and raised in Austria. But The Expendables 3 star looked like a true American as he left Cafe Roma in Beverly...
-
Brad Pitt and Angelina Jolie will finally tie the knot, only for a movie. According to a scoop from The Hollywoo...
-
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm ...
-
ITALIA imeaga Kombe la Dunia nchini Brazil baada ya kufungwa 1-0 na Uruguay, bao pekee la Diego Godin katika mchezo ambao mshambuliaji Luis ...
-
Baada ya habari za ndege ya Malaysia airline hivi sasa ajali nyingine imetoka karibu kabisa na Tanzania ambapo ni nchini Uganda. Ndege hiy...
-
Mwaka huu Psquare hawataki mchezo na mtuu baada ya kuachia nyimbo tatu kwa mpigo ikiwemo sapraiz ya nguvu ya video yao mpya inayoitwa Ej...
-
Brad Pitt has owned a gun since he was very young. In a new interview with Radio Times to promote his new flick " Fury ", the a...
0 comments:
Post a Comment