Friday, November 21, 2014

On 2:58 AM by Unknown   No comments
eminem-iggy
Iggy Azalea ameshindwa kujizuia kujibu diss ya Eminem aliyemtishia kumbaka. Eminem si mgeni katika kudiss wanawake mbalimbali mastaa. Mara nyingi tu ameshawahi kuwachana Britney Spears na Kim Kardashian ambao hawajawahi kujibu.
Iggy ameamua kuushawasha moto zaidi kwa kumjibu rapper huyo kwenye Twitter.

0 comments:

Post a Comment