Monday, November 10, 2014

On 4:51 AM by Unknown   No comments
shaa n melanie-2Ule msemo wa ‘duniani wawili wawili’ umejidhihirisha hata kwenye video mpya ya mwanadada Shaa ya wimbo wake ‘Njoo’, aliomshirikisha staa wa Kenya Redsan.

Video ya Shaa iliyoongozwa na director Enos Olik wa Kenya ina mfanano na video ya wimbo wa msanii Melanie Fiona ‘This Time’ aliomshirikisha J.Cole ambayo ilitoka Jun 18, 2012. Zitazame video zote mbili hapo chini.
shaa n melanie

Shaa ft. Redsan – Njoo


Melanie Fiona ft. J.Cole – This Time

0 comments:

Post a Comment