Thursday, November 13, 2014

On 1:59 AM by Unknown   No comments
10731754_669791816461823_711395622_n
Young Killer ametangaza kuaharisha kuachia video ya wimbo wake ’13’ aliomshirikisha Fid Q kufuatia msiba wa rapper Geez Mabovu uliotokea jana usiku.
Video hiyo ilikuwa iachie Alhamis hii. Kupitia Instagram, Killer amesema video hiyo sasa itaachiwa Ijumaa ijayo.
Kuna taarifa kuwa Geez anaweza kuzikwa leo kwao mjini Iringa.

0 comments:

Post a Comment